| Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh; Lazaro Nyalandu akizungumza na Naibu Balozi wa Iran nchini hapa Bahmani Ahmadi (kushoto) alipotembelea ofisini kwake mapema leo. Katika mazungumzo yao Balozi wa Iran aliahidi nchi yake kusaidia katika mpango mkakati wa Kilimo kwanza ambapo kiasi cha Dola za Marekani Milioni 1.2 zitatolea na Iran katika kusaidia Kilimo kwanza. |
No comments:
Post a Comment