| Rais wa zanzibar Dk Shein na mkewe Mama Mwamamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Sendar Gurbuz,wakati akiyatembelea maeneo ya kihistoria ya mjini istambul leo. |

| Hii ni jengo la kihistoria katika mji wa istambul ambalo kwa kiasi kikubwa watalii mbali mbali hufik na kuona mambo mbali mbali ya kihistoria na kumbu kumbu. |
No comments:
Post a Comment