Monday, April 25, 2011

Extra Bongo Bongo Jana Usiku Dar West Tabata



Mashabiki wakiserebuka

Pia kulikuwa na utambulisho Warembo watakaoshiriki mashinda ya Mrembo waTabata  mwaka huu.

Warembo wanaotarajiwa kushiriki kinyang'anyiro cha mrembo wa Tabata mwaka huu wakicheza shoo ya pamoja.

No comments:

Post a Comment