Sunday, May 1, 2011

Dr Shein Atembelea Maeneo Ya Kihistoria Uturuki

Rais wa zanzibar Dk Shein na mkewe Mama Mwamamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Balozi wa  Uturuki nchini Tanzania Sendar Gurbuz,wakati akiyatembelea maeneo ya kihistoria ya mjini istambul leo.

Rais wa zanzibar Dk Shein na mkewe Mama Mwamamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Balozi wa  Uturuki nchini Tanzania Sendar Gurbuz,wakati akiyatembelea maeneo ya kihistoria ya mjini istambul leo.

Hii ni jengo la kihistoria katika mji wa istambul ambalo kwa kiasi kikubwa watalii mbali mbali hufik na kuona mambo mbali mbali ya kihistoria na kumbu kumbu.

No comments:

Post a Comment