Monday, April 25, 2011

Debe Hili Kutoka Arusha!


HERI YA PASAKA NDUGU MJENGWA!!!
NAKUPONGEZA SANA KWA KAZI NZURI SANA UNAYOIFANYA KWENYE BLOG YAKO.

Ki ukweli nimeona kwenye blog yako unasema daudi na juma ndo wanaipenda tu blog yako,ila mimi nimeanza kufuatilia blog yako toka 2007,mpaka sasa sijawahi kuacha kuitizama ,huwa uanifurahisha unapo onyesha vitu vinavyo husu mtanzania wa kawaida kabisa ,that makes feel great. pia wewe na Michuzi ndo mmenivutia na mimi nianzishe blog yangu ili nijitahidi kuwafuata hapa nyuma.

Sasa bro,naomba uangalie blog yangu alafu unipe maoni yako:blog yangu ni www.gadiola25.blogspot.com napatiaka pande kaskazini ARUSHA Raaaahhhh..!!!!

No comments:

Post a Comment