Monday, April 25, 2011

JK Asalimiana Na Mbunge Wa Chadema

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mbunge wa Rombo(CHADEMA) Joseph Selasini wakati wa tamasha la wasanii wa nyimbo za injili lililofanyika katik ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam jana(PichA: Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment